Nukuu Binafsi

(Zumbe) Ahmad Ten’dii ni Nani

Kijana kutoka Tanzania mwenye Kusudi la uundwaji wa Taifa la kifalme juu ya Baraka, Karama na Maono adhimu ya Mafanikio ya kweli na ulinzi wa Ustaarabu na Utu ndani ya Milenia hii. Mtaalamu wa Dini na Falsafa ambaye Hakupitia Masomo rasmi. Aliyedhihirika kupitia kusudi la uanzishaji wa Taifa la Kifalme lenye upatanisho kati ya ulimwengu halisia na ulimwengu wa kiroho. Mwanasiasa Mwadilifu na Mwenye Karama tele ambaye amesimama kama alama ya Mizani katika masuala yapasayo kuamua juu ya utawala safi. "Nimejinasibu na kunasibishwa na ulezi na ulinzi wa Ustaarabu kuipitia Hekima, Busara, upendo na uelewa wa hali ya Juu".

Ushuhuda Wa Wanaotukubali

Kitu kizuri hakihitaji kunadiwa sana maana chenyewe chajiuza

Falme ya Ahmad

Karibu katika Falme ya Ahmad, Isiyo na Mipaka – Maisha ya Usawa, Heshima na Uhuru wa Kweli

Maelezo Zaidi

Mfumo wa Maisha

Maisha Bila Pesa – Kila Kitu kwa Kila Mtu. Uaminifu wako ni tiketi ya maisha ya heshima na anasa

Maelezo Zaidi

Sheria na Nidhamu

Uhuru wa Kweli Unahitaji Nidhamu ya Kweli. Uhuru wa kuabudu, ulinzi wa mapenzi na Kuchunga wenye haki kwa salama

Maelezo Zaidi

Teknolojia na Viwanda

Kazi Kwa Mashine, Kazi kwa Zamu Lengo la Kupunguza Ajira na Kuongeza Muda wa Familia, Kustarehe na Kuabudu

Jiunge Na Jumuiya

Anzisha Tawi la Zumbe10D Katika Eneo Lako. maelekezo ya kuanzisha jumuiya na Nidhamu Kwa Waasisi

Maelezo Zaidi

Mashujaa na Historia

Waliotangulia Kwa Uaminifu na Ubunifu. Walioacha Alama katika Historia Kwa kuishi Sehemu ya Falsafa hii

Maelezo zaidi